Kamanda
wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga
akiwasalimia kwa kuonesha vidole baada ya kuzikagua timu za Foma na
Mtongani katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya mpira wa miguu ya
timu za Bodaboda ya Mpinga Cup, Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, kwenye
Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo.Lengo la mashindano hayo
yaliyoshirikisha timu 108 ni kutoa elimu ya usalama barabarani kwa
Bodaboda. Kushoto kwake ni Msimamizi wa mashindano hayo, Mrakibu
Msaidizi wa Polisi,Mbunja Matibu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA
WA MATUKIO BLOG)
Mchezaji wa timu Foma (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa timu ya Mtongani.
Ni heka heka katika lango la timu ya Foma.
Mchezaji wa timu Foma (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa timu ya Mtongani.
Ni heka heka katika lango la timu ya Foma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...