Madaktari bingwa
kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimfanyia upasuaji
mgonjwa katika hosptali ya Wilaya
ya Bariadi mkoani Simiyu Zowezi hilo lina endelea katika hosptali ya Wilaya ya Bariadi hadi sasa zaidi
ya watu 480
Bingwa wa magonjwa ya moyo Dokta Tatizo Wane akimpima
mgonjwa kwa kutumia mashine ya kisasa inayojulikana kama ECHOCARDIOGRAM Machine
Zowezi hilo lina endelea katika hosptali ya Wilaya ya Bariadi hadi sasa zaidi
ya watu 480.
Wakazi wa mji wa Bariadi na maeneo ya jirani wakisubiri huduma za matibabu za
madaktari bingwa kaitka hosptali ya
Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...