Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Severin Kahitwa akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa kwa waratibu maafa mkoani humo yanayoendelea wilayani Hai, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu maafa kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa yatokanayo na ukame kutoka katika Halmashauri za wilaya ya Same, Hai na Mwanga mkoani Kilimanjaro wakifuatilia mafunzo hayo yanayoendelea wilayani Hai, kwa kuratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu maafa kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame.
Mkurugenzi Idara ya Uratibu maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali Mbazi Msuya akiongea na waandishi wa habari wa mkoani Kilimanjaro juu ya umuhimu wa mafunzo ya Menejimenti ya maafa ya ukame kwa waratibu maafa katika Halmashauri za wilaya ya Same, Hai na Mwanga wakati wa mafunzo yanayoendelea kuratibiwa na Ofisi hiyo wilayani Hai kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...