Kuelekea kwenye Mikutano Mikubwa ya Chama cha Mapinduzi ya kupendekeza jina la Mgombea Urais wa CCM kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu, Fursa ya biashara ya mavazi ya Chama hicho imeendelea kushamiri kwa wafanya biashara wadogo waliopamba uzio Jengo la Makao Makuu ya CCM Mkoani Dodoma kwa mavazi ya rangi za kijani na njano kama inavyoonekana pichani. 
 Sehemu ya wafanyabiara kutoka maeneo mbali mbali, wakiwa wamepanga biashara zao nje ya Uzio wa Jengo la Makao Makuu ya CCM Mkoani Dodoma, leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...