Kiwanja kipya cha Maraha kifahamikacho kwa jila la Maisha Club Basement kimeanza kupiga kazi usiku huu kwenye jengo jipya la LAPF, Makumbusho jijini Dar es salaam. Kiwanja hiki ambacho ni cha kisasa kabisa ni mbadala wa Maisha Club iliyokuwepo Masaki, hivyo sasa kila kitu kinapatikana hapa.
Ndani ya Kiwanja hicho maalum kwa kuruka majoka kunaonekana namna hii.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...