John Pombe Joseph Magufuli alipokuwa kidato cha kwanza katika Seminari ya Katoke mwaka 1975.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2015

    ili kuwe na balance tuwekee na ya lowassa ha ha haaa…….

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2015

    Inaonekana Mh katoka familia yenye uwezo kiasi fulani: Seminari kwanza halafu Lake Sekondari. Familia za kwetu hata serikalini kulikokuwa bure ilikuwa ni kazi sana kusoma.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 28, 2015

    Picha za black and white zilikuwa na uzuri wake.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2015

    Habari ya mujini ndio Magufuli!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 29, 2015

    Hakutoka familia ya uwezo. Hizo Seminari alikuwa na scholarship, jamaa alikuwa kichwa sana darasani. Mtoto wa mkulima kabisa huyu sio bepari kama nanii..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...