Mwenyekiti wa  Tawi  la CCM-CHINA Bw.Juma Mashinene (kushoto) akimkabidhi  Dr.Nobeji Boniphace Shija cheti cha uwanachama- CCM- Beijing.
 Katibu  mkuu Tawi  la CCM-CHINA Bw.Joel Kayombo (kushoto) akimkabidhi  Dr.Nobeji Boniphace Shija cheti cha uwanachama- CCM- Beijing."
Baadhi ya  makada wa Tawi  la CCM-CHINA  wakiwa kwenye picha ya pamoja ambayo iliambatana na chakula cha jioni huko Beijing, China.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...