Mdau Shafi Mpenda ambaye ni mfanyakazi ya uhasibu katika Shirika la Magazeti ya Serikali la Tanzania Standard Newspapers (TSN) Shafii Kassim Mpenda akichukua fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM wenzake ya kugombea ubunge katika jimbo la Katavi mwaka huu mwezi oktoba, 2015
Mdau Shafi Kassim Mpenda Shafi Kassim Mpenda akionesha fomu yake ya kuomba ridhaa ya wana CCM wenzake ya kugombea ubunge katika jimbo la Katavi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...