Banda la Mfuko wa  Pensheni  wa LAPF liloko katika kiwanja cha Mwl. Nyerere kwenye    maonyesho ya Sabasaba 2015. LAPF ipo banda namba 22  karibu na banda CELLO na SIDO mkabala na banda la Elimu
   Mwanachama wa LAPF akifurahia kupatiwa Taarifa ya michango yake ambayo ni mmoja ya huduma utakayoipata kwenye banda la LAPF ukitembelea banda hilo
 Wanachama na wageni waliotembelea banda la LAPF wakipata fursa ya kujiandikisha kwenye mfumo wa uchangia wa hiari, kupata vitambulisho, pamoja na kupata fursa ya kuona taarifa za michango yao hapo hapo.
   Mwanachama akiandika maoni yake kwa jinsi alivyofurahishwa na huduma kutoka Mfuko wa Pensheni wa LAPF.
Karibu katika banda la Mfuko wa Pensheni wa LAPF, mfuko bora wa Pensheni Tanzania uweze kupata elimu kuhusu hifadhi ya jamii Tanzania yaani tumetoka wapi, tupo wapi na tunaenda wapi pamoja na huduma zinazopatikana kutoka LAPF.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...