Fatilia Mkutano wa Mh. Edward Lowassa leo Jumanne tar 28/07/2015, kuanzia saa 9 alasiri kwa saa za Afika Mashariki. itakuwa live kupitia hapa http://live.wogmedia.co.tz/channel/view/karibu-1

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2015

    mbona hakuna kitu? Au maamuzi magumu yamepata kigugmizi?

    ReplyDelete
  2. Mimi Nina hofu na wanahabari. Asilimia 98 Wako chadema hii iko wazi ukifuatilia uhamaji WA Lowasa kwenda chadema jinsi walivokuwa wakishangilia wameonyesha wazi huku mkutano na ccm wanaeleza kuwa ccm wamekwepa maswali magumu hiyo ciyo kweli hat a kidogo wawe wakweli. Ccm imemuondoa mtu mchafu na wapinzani wanachukua watu ambao waliwatukana na kukashifu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...