Waandishi habari na baadhi ya viongozi wa vyama mbalimbali wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA wakimsubiri Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassaa kwa ajili ya kujiunga na UKAWA ,baada ya muda mfupi tutawaletea chama anchajiunga nacho.
Hivi ndivyo walivyo katika hoteli wakijiandaa na mapokezi ya Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa katika hoteli ya bahari beachi jijini Dar es Salaam
Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Bawacha,Halima Mdee akifakari kulia kwake ni Mzee Kimesera leo katika waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam,
Sehemu ya kamera zikisubiri kuwasili kwa kiongozi huyo katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...