Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Y. Sefue akiongoza kikao cha maandalizi ya Mkutano wa
kumi na mbili (12) wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa nchi za Afrika
Wanachama wa Jumuiya ya Madola utakaofunguliwa leo
Taswira ya moja ya eneo mkutano wa Wakuu wa Utumishi Barani Afrika utakapofanyika
Katibu Wakuu na watendaji
mbalimbali wakijadili wakati wa kikao: kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya
Waziri Mkuu . Dkt. Florens Turuka, akifuatiwa na Kaimu Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais-Menejimneti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu na Katibu
Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhem James Meru
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...