Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akishuka kwenye ndege mara tu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Singida.
Umati
wa watoto wanaoishi karibu na maeneo ya uwanja wa ndege wa Singida
mjini wakiwa wamefurika kwenye uwanja huo kumpokea mbunge wao.
Mwanamuziki
wa kimataifa Diamond Platnumz, Rommy Jones pamoja na mlinzi wake
wakielekea kwenye gari maalum mara tu baada ya kuwasili.
Wananchi wa Singida mjini wakimsindikiza Mbunge wao Mh. Mohammed Dewji.
Jimbo la Ukawa... Kachomoa mapema....
ReplyDelete