Meneja Kiongozi wa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume (kulia) akimuongoza Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudentia Kabaka wakati alipotembelea banda la NSSF kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es salaam.
Waziri wa kazi na Ajira, Mh. Gaudentia Kabaka akipokea maelezo kutoka kwa Meneja Kiongozi wa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume, juu ya mashine za kutoa mrejesho wa Huduma za NSSF kwenye banda la Maonesho la NSSF.
Mh.Gaudentia Kabaka akipewa maelezo ya Huduma mbalimbali zinazofanywa na NSSF kuisaidia jamii.
Meneja Kiongozi wa Masoko na Uhusiano Eunice Chiume akimkabidhi zawadi Waziri wa Kazi na Ajira Mh.Gaudentia Kabaka alipotembelea Banda la NSSF kwenye maonesho ya 39 ya biashara ya Kimataifa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...