
Mbunge
wa Mbeya Mhe. Joseph Mbilinyi (sugu) watatu toka kushoto akiteta jambo
na Mhe/ Peter Msigwa Mbunge wa Iringa katika mkutano wa kumpa ridhaa
Mbunge Mhe. Peter Msigwa kugombea ubunge kwenye jimbo hilo kwa miaka 5
ijayo kwa tiketi ya chama chake, CHADEMA.
Mwimbaji
wa nyimbo za injili Flora Mbasa akiimba moja ya nyimbo zake kwenye
mkutano huo uliofanyika leo Jumapili July 18, 2015 mjini Iringa.
kweli watu lazima wagwaye,Jana nimepokea msg ya ushawishi wa kumkataa Mchunganji msigwa kutoka kwa mmoja wa waliokua viongozi eti ametumia hela nyingi kukodi bodaboda 3000@40000,JUKWAA LA EBONY@1OM, NA VIPEPERUSHI VYENYE PICHA YAKE @11 M.Hope mtu huyo alikua akiweweseka kutokana na umati huo lol!!
ReplyDelete