Mh.Mwigulu NChemba akipokea Fomu ya kuwania Ubunge kwa mara nyingine kwa Jimbo la Iramba,Mwigulu amechukua fomu hiyo hii leo Makao makuu ya CCM Wilaya ya Iramba-Kiomboi.
Mwigulu Nchemba akisainii kitabu maalumu cha Wagombea Ubunge Jimbo la Iramba.
Msafara MKubwa wa Mh.MWigulu Nchemba ukielekea Makao Makuu ya CCM Wilaya ya Iramba kwaajili ya Kuchukua fomu ya Kuwania Ubunge kwa awamu ya pili.
Mwigulu Nchemba akiwa ameungana na Vijana wa Bodaboda waliomiminika kumsindikiza akachukue fomu ya kuwania Ubunge kwa mara ya pili ndani ya Wilaya ya Iramba. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Upandaji huu wa bodaboda kwa Mh. Mwigulu ni wa hatari sana kwa usalama barabarani. Huyu Mh ilibidi akamatwe na kuchukuliwa hatua kali kwa uvunjifu huu wa sheria na kuhatarisha maisha yake, ya dereva na watumiaji wengine wa barabara.
ReplyDeleteNchi inaongozwa na sheria na kama viongozi ndio wavunjifu wakubwa wa sheria basi tumefika pabaya sana. Uncle Michuzi ninaomba umfikishie huu ujumbe huyu Mh. maana kuna vijana wengi wanasoma hii blog usishangae ukakuta wanafanya haya barabarani sababu yamefanywa na kiongozi wa serikali & chama.
mdau
New York
HIYO NI HATARI BROTHER, USIJE TUPASUA MOYO, HAO BODABODA HAWAKAWII KUANGUKA NA HIZO PIKIPIKI.
ReplyDeleteTunakutakia ushindi.
ReplyDelete