Baadhi ya Polisi wakiwatawanya watu (hawapo pichani) kwa mabomu ya machozi mara baada ya tukio la kuchomwa moto kituo cha polisi Bunju, tukio hilo limetokea.Kituo cha polisi Bunju kilichopo nje kidogo ya jiji la Dar kimechomwa moto na baadhi ya Wananchi kufuatia tukio la kudaiwa kwa Mwanafunzi mmoja kugongwa na gari na kufa papo hapo.
Sehemu ya kituo hicho cha Polisi Bunju kikiteketea kwa moto mara baada ya kuchomwa moto na wananchi kufuatia tukio la kudaiwa kwa Mwanafunzi mmoja kugongwa na gari na kufariki papo hapo.
Muonekano wa kituo hicho cha Polisi Bunju mara baada ya kuchomwa moto.
Moja ya Gari iliyokuwepo kituoni hapo ikiwa imenyofolewa vifaa vyake wakati wa vurugu hizo
Mmoja wa askari akikagua uharibifu mkubwa uliofanywa katika gari hilo kufuatia vurugu za kuchomwa moto kituo hicho cha Polisi Bunju mapema leo na wananchi.
Imevunjwa kioo chote cha nyuma
Baadhi ya polisi wakiangalia uharibifu uliofaywa na baadhi ya watu waliovamia kituo hicho cha polisi Bunju,kufuatia tukio la kudaiwa kugongwa na gari mwanafunzi mmoja na kufa papo hapo.

TUTAWALETEA HABARI ZAIDI YA KADIRI ZITAKAVYOPATIKANA.
Jamani Watz wenzangu huu mwengine ni ujinga na choyo kisichokuwa na maana.
ReplyDeleteIkiwa dereva mmoja amefanya kosa la kumgonga mwanafunzi, kwa nini muchome moto magari ya watu ambao hawakuhusika, ikiwemo na vituo vya polisi?
Ni ushamba wa hali ya juu na kamwe haawataendelea hata kituo kuchomwa sio sahihi kabisa hivi tujieleze badaa ya kufanya hivyo yule wamepatta nini?????? Ndio maana hutuendelei katika jamii. Waliofanyiwa hivyo sio waliofanya hicho kitendo narudia kusema watanzania mungu ametupa akili ya bure na tutumie basi kufanya vitendo kama hivi ni ishara ya kutojua jinsi ya kutumie uzalendo kuelewa kipi kifanyike na katika utaratibu upi!!!!!!!!! Wasomaji inelekea dhahiri wote shule hawaja enda na isitoshe hata ujumbe hawajapata!!!!!! Igp naomba Weka task force nzuri hata kama itachukuwa miezi kajhaa wakamateni hao watu kalafu Weka hadharani wafungwe miaka mengi jela na kutoa onyo watakaofanya ushamba huu matokeo yake na haya
ReplyDeleteTatizo la watanzani wengi masikini, sasa likija swala kama hili wanazani wote ndio wale waleee vigogo serikalini, mali zao nyingi ni za ufisadi, kwa hiyo wanataka lipiza visasi, kwa uharibu wa mali, kumbe laaa hashaa, wengingine mali zao halali kabisa wamejitafutia kwa kuangaika na jasho kuwatokaa
ReplyDelete