Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu
wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na makada wa CCM wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijinDar es salaam kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. Makada hao walikuwa uwanjani hapo kwa mapokezi ya mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli.PICHA NA IKULU
DO YO TING BRODA!
ReplyDelete