Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa
Ndege wa kijeshi wa Fairbairn mjini Canberra katika siku ya mwanzo ya
ziara yake Rasmi ya siku nne ya Kiserikali nchini Australia.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua na kutoa heshima katika
kaburi la askari wa Australia wakati alipotembelea jumba la Makumbusho
ya Taifa ya vita - Australian War Memorial - mjini Canberra
zilikohifadhiwa kumbukumbu mbalimbali ambayo zinazoonesha jinsi
Australia ilishiriki kwenye vita mbalimbali katika siku ya mwanzo ya
ziara yake ya Kiserikali nchini Australia.

Tuwekee video ameongea nini na Watanzania wa huko? Mwambie arudi, kimenuka home.
ReplyDelete