Kiongozi wa Kundi la TMK wanaume na mkurugenzi wa kituo cha mkubwa na
wanawe, Saidi Fella leo amechukua fomu ya kuomba kugombea udiwani
katika kata yake ya Kilungule Temeke,
![]() |
Katibu wa Siasa na Uwenezi kata ya Kilungule, Juma ally kilindo Akimkabidhi fomu ya Kuomba kugombea udiwa Saidi Fella. |
Saidi
Fella ameamua kuchukua fomu hiyo na kugomea nafasi hiyo ili aweze
kutatua kero za wakazi wa kata ya Kilungule na kuleta maendeleo katika
Kata hiyo.
"Nimeamua kuchukua nafasi hii ili kutatua
kero za kata yangu, hapa kuna shida ya maji na barara naamini nikiwa
Diwana nitaweza kuonana na wakubwa wa nchi uso kwa macho na kuweza
kuelezea shida za kata yangu, chamsingi ni kuleta maendeleo" Alisema
Saidi Fella.
Picha zaote na Harakati za Bongo
picha ya pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...