Mjumbe
wa bodi wa Tamasha la Jahazi, Fatma Allo (kulia), akizungumza katika
mkutano na wadau wa filamu na wanahabari Dar es Salaam leo jioni kuhusu
tamasha la nchi za jahazi litakalofanyika kuanzia Julai 18 hadi 26 mwaka
huu Ngome Kongwe mjini Zanzibar.Kutoka kushoto ni Meneja wa Tamasha,
Daniel Nyalusy na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha la Jahazi, Martin
Mhando.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha la Jahazi, Martin Mhando (kushoto), akizungumza kuhusu tamasha hilo kubwa la jahazi. Kulia ni Mjumbe wa bodi wa Tamasha la Jahazi, Fatma Allo.
Meza
Kuu. Kutoka kushoto ni Mratibu John Mchaina 'Simple', Mratibu Rehema
Jonas, Mjumbe wa Bodi, Mahabobo Champs, Daniel Nyalusy, Ofisa Mtendaji
Mkuu, Martin Mhando na Mjumbe wa Bodi, Fatma Allo.
HABARI ZAIDI INGIA HAPA
HABARI ZAIDI INGIA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...