JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA
TUNAPENDA
KUTOA TAARIFA RASMI KUWA KUANZIA TAREHE 1 JULAI, 2015 SHUGHULI ZA USIKILIZAJI
WA MASHAURI KWA NJIA YA USULUHISHI (ALTERNATIVE
DISPUTE RESOLUTION – ADR) ZIMEHAMIA KWENYE JENGO LA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC HOUSE), GHOROFA YA TATU MTAA
WA SAMORA JIJINI DAR ES SALAAM.
JENGO HILO KWA SASA
LINATUMIWA PIA NA MAHAKAMA KUU, DIVISHENI YA ARDHI.
KWA
MAELEZO NA UFAFANUZI PIGA SIMU NA. 022
2111131 AU 022 2110927 AU 0754 454600 NA BARUA PEPE nyakibeda@gmail.com NA
UWASILIANE NA BW. BEDA NYAKI, NAIBU
MSAJILI- (USULUHISHI).
“PUNGUZA MUDA NA GHARAMA ZA UENDESHAJI WA MASHAURI
KWA KUTUMIA NJIA MBADALA YA USULUHISHI”.
IMETOLEWA NA:
MSAJILI
MAHAKAMA KUU (T)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...