Home
Unlabelled
TUKIO LA KUVAMIWA KWA KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA NA KUPELEKEA ASKARI WANNE NA RAIA WATATU KUPOTEZA MAISHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Strategy za kiulinzi zibadilike na wakati jamani. Hivi sasa kuna wimbi la kuvamiwa vituo vya police sana. Na hapa sio speculation lakini ni lazma kuna kitu. Sasa, Camera ziwekwe kwenye vituo vya police, barabara, madukani, mitaani, mabenk, majumbani, na hata maeneo ambayo mtu anaweza asihisi kuwa kuna security.Hii itasaidia sana kurahisisha utambuzi na ukamataji wa wahalifu. Boston, ilichukua siku tatu tu kukamata wahuni wa mlipuko kwa sababu police wali-analyze videos zote kwenye mitaa ya Boston na maeneo ya tukio la mlipuka. Sasa Bongo, tuende na wakati- maana Wahuni hawa naona wanataka kutunyima usingizi. Poleni askari wetu na raia.
ReplyDeleteDu poleni sana wafiwa na R.I.P wote mlitutangulia.
ReplyDeleteInasikitisha sana kuona maisha ya wenzetu yanakatizwa kiukatili namna hii
Zanzibar kumeanza kuwe,wa cctv
ReplyDelete