
Dk. Salim Ahamed Salim akizungumza na Mkurugenzi wa Taasisi ya utamaduni wa chuo cha kiislam Morogoro, Abdalla Bujra mara baada ya kumalizika kwa Semina inayozungumzia masuala ya utamaduni iliyofanyika katika hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa kigoda cha Mwalimu Nyerere Profesa Issa Shivji kichangia maada kuhusiana na mambo ya utamaduni na mambo ya kale jinsi yanavyochangia katika uchumi wa hapa nchini, katika semina iliyoandaliwa na Chuo cha Waislam Morogoro iliyofanyika katika hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.
Wadau wa mambo ya utamaduni wakimsikiliza Dk. Salim Ahamed Salim
katika semina iliyoandaliwa na Chuo cha Waislam Morogoro iliyofanyika katika hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.
katika semina iliyoandaliwa na Chuo cha Waislam Morogoro iliyofanyika katika hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanaosoma kozi ya Utamaduni ( Culture) waliohudhuria katika semina iliyoandaliwa na Chuo cha Waislam Morogoro iliyofanyika katika hotel ya Lamada jijini Dar es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...