Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wakili  wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam.
Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.

 Makene akisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni juu ya kanuni za kufuata kama muonesha nia.
Makene akionesha fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa kugombea Ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...