Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsindikiza Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn  ambaye anapunga mkono  wakati mgeni huyo alipoondoka nchini baada ya ziara yake ya siku moja 
   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsindikiza Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn   alipoondoka nchini baada ya ziara yake ya siku moja 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Waziri Mkuuwa Ethiopia,   Hailemariam Desalegn  ambaye anapunga mkono  wakati mgeni huyo alipoondoka nchini baada ya ziara yake ya siku moja. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...