Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Mb), akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli, leo Tarehe 25-08-2015 ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mheshimiwa Waziri Bernard Membe akizungumza na Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...