Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa amgeni rasmi katika semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini akifungua rasmi semina hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa hotuba yake wakati wa semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Beki ya CRDB, Tully Mwambapa akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei kutoa hotuba yake wakati wa semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika jijini Mbeya.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Beki ya CRDB, Tully Mwambapa akiwaongoza wageni waalikwa kuimba wimbo maalumu wa Benki hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifurahia jambo na Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) wakati wa semina ya Benki ya CRDB kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyofanyika jijini Mbeya. Kushoto ni Mkuu Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Nyirembe Munasa.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina ya Benki ya CRDB kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyofanyika jijini Mbeya.
PICHA ZAIDI INGIA HAPA
PICHA ZAIDI INGIA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...