Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei,
akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki
hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila
hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki
hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila
hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akizungumza katika hafla hiyo.
Naibu
Mkurugenzi wa Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Ester Kitoka (katikati) akiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na
Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...