Msanii wa muziki wa Rap toka Kikosi cha Mizinga, Karama Masoud aka Kalapina (kushoto) akipokea fomu za kugombea udiwani kata ya Kinondoni kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo toka kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi Bibi Ikunda Lyimo siku
ya Ijumaa jioni. Kala Pina aligombea udiwani kwa tiketi ya chama cha
CUF katika uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo alishindwa na mgombea wa CCM.
|
Home
Unlabelled
Kalapina wa kikosi cha mizinga achukua fomu kugombea udiwani kata ya Kinondoni kwa tiketi ACT Wazalendo!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...