Afisa
Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania Bw Selemani Ponda (wa pili
kulia) akizundua tawi jipya la benki hiyo lililopo eneo la
Mwanakwerekwe, Zanzibar wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika
Zanzibar hivi karibuni. Wanaoshuhudia ni baadhi ya maofisa wa benki hiyo
pamoja na wageni waalikwa.
Home
Unlabelled
BENKI YA EXIM TANZANIA YAFUNGUA TAWI JIPYA ZANZIBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...