Rais wa jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa NMB Bi Ineke
Bussemaker kikombe cha mshindi wa pili kundi la taasisi za kibenki
zilizoshiriki maonesho ya Nane nane Kitaifa 2015 katika viwanja vya Ngongo
Lindi.
Wafanyakazi wetu wakifurahia ushindi baada
ya kuibuka kidedea katika kundi la taasisi za kibenki
zilizoshiriki maonesho ya Nanenane Morogoro
Wafanyakazi wa NMB wakifurahia ushindi baada
ya kuibuka kidedea katika kundi la taasisi za kibenki
zilizoshiriki maonesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa katika viwanja vya Nyamhongoro
Mwanza.
Wafanyakazi wa NMB wakifurahia ushindi baada
ya kuibuka kidedea katika kundi la taasisi za kibenki
zilizoshiriki maonesho ya Nanenane Arusha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...