Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kulia) akimshambulia kwa makonde mazito Ally Muhuro wakati wa mpambano wao ulifanyika siku ya jumamosi Class alishinda kwa T.K.O ya raund ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Ally Muhuro wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamos Class alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu Picha zaidi BOFYA HAPA |
Board ya masumbwi iwachukulie hatua hawa na walioandaa huu mchezo. Masumbwi Kama Michezo mwingine izingatie usalama wa wachezazi. Hapa ukiangukia kichwa kwenye concrete floor mtasema mapenzi ya mungu!
ReplyDelete