Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo mchana,katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kuhusiana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa majimbo 11 nchini yaliyokuwa yamebakia

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa leo Agosti 17, 2015 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dokta Jakaya Mrisho Kikwete imefanya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika majimbo 11 nchini yaliyokuwa yamebakia.

Wagombea Ubunge walioteuliwa na majimbo yao kwenye mabano ni:-


1.    Ndugu Jerry Slaa                                  -        (Ukonga) Dar es Salaam
2.    Ndugu Edward Mwalongo                      -        (Njombe Kusini) Njombe
3.    Ndugu Venance Mwamoto                     -        (Kilolo) Iringa
4.    Ndugu Raphael Chegeni                        -        (Busega) Simiyu
5.    Ndugu Edwin Ngonyani                         -        (Namtumbo) Ruvuma
6.    Ndugu Mohamed Mchengerwa               -        (Rufiji) Pwani
7.    Ndugu Norman Sigara                           -        (Makete) Njombe
8.    Ndugu Martin Msuha                             -        (Mbinga Vijijini) Ruvuma
9.    Ndugu Joel Makanyanga Mwaka             -        (Chilonwa) Dodoma

Imetolewa na:-


Nape Moses Nnauye,    
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
ITIKADI NA UENEZI
17/08/2015



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...