Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, Mkuu wa Mkowa wa Dar es salaam, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi na viongozi wa UDART wakikagua mabasi yaendayo kasi, baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya madereva
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi akifurahia kutimia kwa ndoto ya kuanza kwa mabasi yaendayo kasi, baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya madereva
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi akifurahia kutimia kwa ndoto ya kuanza kwa mabasi yaendayo kasi, baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya madereva
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi akiongea baada ya kutimia kwa ndoto ya kuanza kwa mabasi yaendayo kasi, baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya madereva
Viongozi wakionja maraha ya moja ya mabasi hayo. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
ReplyDeleteNimesikia haya mabasi yanatumia umeme na mafuta (Hybrids), je ni kweli?
http://electriccarsreport.com/2013/06/la-metro-buys-its-first-byd-electric-buses/