Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,(kulia) Balozi wa Norway Trygve Bendiksby.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)akiuliza suala kwa Afisa wanyamapori Idara ya Misitu salum Khamis (kushoto) wakati alipotembelea maonesho ya kazi mbali mbali katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akipanda mche wa muembe Mviringo ikiwa kama kumbukumbu yake wakati sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)akipata maelezo kutoka kwa Bw,Khamis Suleiman Masoud (kushoto) Katibu wa Jumuiya ya kuendeleza ufugaji wa Nyuki na kutunza mazingira,alipotembelea maonesho ya kazi mbali mbali katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...