Kaimu meneja wa uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Hamza Hassan
(Kushoto), akipokea msaada wa madwati 150 kutoka taasisi ya Jamani (Jamani Foundation) kwa
niaba ya shule za msingi za Umoja, Kigilagila, na Muungano zilizopo manispaa ya Temeke. Kulia ni
Nirmala Pabari, katikati ni MS Sadrudin Virji, ambao ni watendaji wa Jamani Foundation
Home
Unlabelled
Jamani Foundation yatoa msaada wa madawati 150 kwa shule tatu za Temeke
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...