Gari lenye usajili T 896 BFB likiwa limeacha njia na kuanguka Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma, likiwa limesheheni mzigo kupita uwezo wake na mizigo hiyo kuhamishiwa katika gari jingine.
Wahusika wakifunga mizigo hiyo japo haikufahamika mara moja nimizigo gani.
Mizigo hiyo ikihamishiwa katika Gari lenye usajili T 267 DCW ili waweze endelea na safari hiyo.
Picha na Khamisi Mussa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...