Mbio za kampeni ya uchaguzi mkuu 2015 tayari zimeanza. Ni wasaa sasa kwa wagombea wa vyama mbalimbali kupishana huku na kule vijiji kwa vijiji, kata kwa kata, wilaya kwa wilaya, mkoa kwa mkoa wakifanya mkutano ya kampeni za siasa kutambulisha wagombea wao na kuzinadi sera zao al-muradi wapate ridhaa ya wananchi.
Zoezi hilo ni gumu ila sisi kama jEMBe fM tunalirahisisha!!
Sasa ili upate kuwafikia wananchi wengi ndani ya muda mfupi jEMBe fM imefungua
milango kwa kutoa huduma ya matangazo ya moja kwa moja yaani LIVE toka viwanja vya
mikutano tena full kiwango (HATUBAHATISHI) kwa maelezo zaidi piga simu kitengo
cha masoko katika namba ±255282506068 au fika katika ofisi zetu zilizopo jengo la PPF ghorofa ya
6.
@jembenijembe
mnalipa royalties kwa miziki wa watu mnayopiga bure huku mkiuza nafasi ya matangazo kwa ngawira kwa vyama vya siasa, je wasanii wanafaidikaje na kazi zao mnzozitumia kujipiga promo?1
ReplyDelete