SIMUtv: Mpambano wa kinyanganyiro cha kombe la ngao ya hisani kati ya Azam FC na Yanga umepamba moto huku bao bado ni bila. https://youtu.be/MbaSDAaq3XM
SIMUtv: Mambo ya Msuva dimbani ni hatari sana, hebu cheki akionyesha jitihada na maujuzi yake dhidi ya goli la Azam; http://simu.tv/OvKYhrO
SIMUtv: Ule wasaa uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu hatimaye umewasilili, dimbani ni Yanga FC na Azam FC wakilisakata . Endela kuwa na Simu.Tvhttps://youtu.be/cjSAxyHE5kA
SIMUtv: Ni dakika ya 15 si yanga wala azam imeweza kuona lango la mwenzake lakini yanga wanapata kadi ya manjano; https://youtu.be/yg-go2m8Jds
SIMUtv: Azam walazimika kubadilisha mchezaji kabla hata ya dakika 30, ni baada ya beki Shomari Kapombe kupata jeraha na kutolewa nje ya uwanja; https://youtu.be/yg-go2m8Jds
SIMUtv: Mambo ya Msuva dimbani ni hatari sana, hebu cheki akionyesha jitihada na maujuzi yake dhidi ya goli la Azam; https://youtu.be/hoIsRcCcWGM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...