JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA
HABARI NA UHUSIANO
Simu ya Upepo : “N
G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo :
DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,
Telex
: 41051 DAR
ES SALAAM, 31 Agosti, 2015,
Tele Fax
: 2153426
Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti : www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Vyombo
vya Ulinzi na Usalama vinaandaa sherehe ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu tarehe 01
Septemba 2015 kwa gwaride rasmi litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru,
kuanzia saa 2.00 Asubuhi hadi saa 6.30 mchana.
Waandishi wa Habari mnakaribishwa katika uwanja wa
Taifa kwa ajili ya Coverage ya tukio hilo la kihistoria.
Imetolewa na Kurugenzi
ya Habari na
Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi: 0756 -
342279
0783- 309963.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...