JK akipata picha na Mgombea Ubunge Moshi Mjini Davies Mosha na mwendesha talk show Mboni Mashimba kwenye hafla ya Wasanii wa fani mbalimbali ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015
JK akisalimiana na msani Cassim Mganga
Ommy Dimples akipata selfie na JK
Wasanii wakipata selfie na JK
Kila msanii aliomba selfie na JK
Selfie kila meza na JK hakufanya hiyana
LeMutuz anaye anachungulia hapo, hivi naye ni msanii?
ReplyDelete