Ujenzi wa barabara ya Iringa-Dodoma umekamilika kwa asilimia 95, bado maeneo machache tu likiwemo hili la Mlima Nyang'oro ambapo Wachina wameuchonga ili kupunguza kona katika umbali wa kilometa 15.
Wakati wakandarasi walipokuwa wanajenga daraja hili katika eneo la Miangalua kwenye barabara ya Tunduma-Sumbawanga mwaka 2011. Barabara hiyo sasa imekamilika.
Barabara ya Mwanza-Musoma iko katika hali nzuri.
Ujenzi wa barabara ukiendelea katika baadhi ya miradi nchini.
Katika hizo kilometers, ngapi zimejengwa Unguja na Pemba (Zanzibar)?
ReplyDeleteKatika hizo kilometers, ngapi zimejengwa Unguja na Pemba (Zanzibar)?
ReplyDeleteCCM OYEEEEE UKAWA ZIIIII
ReplyDeleteKodi za wananchi at least zimetumika
ReplyDeleteTatizo sio kujenga tu, utunzaji ukoje?! nilipita kule mbele ya ushirombo hali ni tete, hata za hapo jijini Dar ni vituko, hata walizotuachia watishi (Binti Matola, barabara za mwananyamala) sasa hivi ni mashimo, sijui tunakwenda wapi!!
ReplyDelete