Mshindi
mwingine tabasamu na kufarahiya kukabidhiwa zawadi yake na Jimmy Jiam baada
yakuonekana kuwa ameweka stika ya EFM kwenye sehemu yake ya bishara huko Kisarawe mkoa wa Pwani ambako kituo hiki pendwa husikika bila kelele wala mikwaruzo.
Mshindi
mwingine huko Kisarawe akipewa zawadi yake na Jimmy Jiam na huku Jimmy Jiam akiwa anaongea
moja kwa moja yaani live kupitia masafa
ya 93.7 EFM.
Jimmy
Jiam akimtunza mshindi wa Muziki Mnene bango baada yakuona kuwa ameweka stika
za EFM kwenye bodaboda yake kwenye eneo la Kisarawe mkoa wa Pwani ambako kituo hiki pendwa husikika bila kelele wala mikwaruzo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...