Mgombea Uras wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mbalizi mkoani Mbeya mapema leo asubuhi katika mkutano wa kampeni maeneo ya Mbalizi wilaya ya Mbeya vijijini.
Wanakijiji cha Kanga wakitazama picha ya mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt Jonh Pombe Magufuli wakati mgombea huyo akielekea Chunya kwenye mkutano wa kampeni.
Wananchi wa Mbalizi wakiwa wamekusanyika wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa kampeni uliofanya katika stendi ya mabasi Mbalizi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...