Kwa mara ya kwanza katika historia
inakuletea Khanga Party Khanga Fashion show kutoka kwa mama wa mitindo Asya Idarous Khmasin siku ya Jumamosi Aug 29, 2015 ndani ya kiota THE VAULT AT PALACE

ANUANI
1104 BROAD ST
DURHAM NC 27705

Khanga Party ndani ya Durham North Carolina
Kiingilio ni $ 20
Couple $30
Ladies with Khanga outfit $10 B4 11pm
Music By Dj Luke
Milango itakua wazi kuanzia 8pm-3am Khanga Fashion show itaanza kuanzia saa 9pm mpaka 10pm baada ya hapo ni Rhumba mpaka saa 3qm
KaRiBuNi 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...