Aliyekuwa Mkuu
wa Magereza Mkoa wa Shinyanga Kamishina Msaidizi wa Magereza (SACP) Annethy
Laurent.
Mwili wa Marehemu Anneth ukiwasili katika
Kanisa Katoliki Parokiani Segerea. Walio mbele ni Pamela (mtoto wa dada yake na Marehemu) na aliyebeba
picha ni mtoto wa Pamela ( Mjukuu wa Marehemu). Walioshika jeneza kushoto ni
Mkuu wa Magereza mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Dk.Kato
Rugainunura, kulia ni Mkuu wa Kikosi Maalum Cha Magereza Kamishna Msaidizi wa
Magereza (ACP) Rajab Nyange
Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakati wa ibada ya kumuombea Marehemu.
Naibu Kamishna
wa Magereza (DCP) Edith Mallya akitoka salaam za Jeshi la Magereza kwa wafiwa
kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa
Magereza John C. Minja.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Picha zote na Mkaguzi
wa Magereza Moses Sebastian
Makao Makuu ya Magereza.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...