Napenda kuwajulisha wananchi wote kumetokea tabia ambayo sio nzuri kwa jamii watu kutengeneza maneno na kuanzisha post kwenye mitandao ya jamii isiyokuwa tija ili kumchafua mtu.
Naomba ieleweke kuwa mimi binafsi sina account yoyote ya mtandao wowote wa jamii na wala sina mpango wakuwa nayo maana ninajua madhara yake watu wanatumia visivyo kupotosha jamii ukweli utabaki kuwa ukweli pamoja kwa maendeleo -
Davis Moshi
Pamoja Davy ogopakabsa watuwamekuwa mafyawa mi tndao
ReplyDelete