Askofu
Charles Gadi akitoa historia yake katika ibada yake ya kusimikwa kuwa
Askofu Mkuu wa Makanisa ya Good News for All baada ya kusimikwa rasmi
katika kanisa hilo la Mapinga Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani hivi
karibuni.
Wazee wa kiroho wa Askofu Gadi wakiwasalimia waumini katika ibada hiyo.
Rais
wa Makanisa ya Kipentekosti Afrika, Dk.Athar Gitonga (kushoto),
akimkabdidhi fimbo ya Uaskofu, Askofu Gadi wakati wa ibada hiyo ya
kuzimikwa kuwa Askofu wa Makanisa hayo.
Hapa akikabidhiwa Biblia Takatifu. Kushoto ni Askofu Joshua Lwele.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...