Mdau Lusekelo Ambokile akionekana ni mwenye furaha sana mara baada ya kulamba Nondozz yake ya BA-Marketing katika Chuo Kikuu cha Middlesex University, nchini Uingereza.
Mdau Lusekelo Ambokile akiwa na Dada zake mara baada ya kulamba Nondozz yake ya BA-Marketing katika Chuo Kikuu cha Middlesex University, nchini Uingereza.
Mdau Lusekelo Ambokile akiwa na Mama yake mzazi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...